Monday, February 9, 2015

MBEYA LIVING LAB





MBEYA LIVI NG LAB

Ni kundi linalosaidia jamii na vijana katika kujiajili wao wenyewe ambapo wanatoa mafunzo ya sanaa na mafunzo ya computer bure kabisa kwa kila anaehitaji .
 Hawa ni baadhi ya  watu ambao wameweza kupata mafunzo hayo.

mbeya living lab wapo kwa ajili ya kubilisha jamii ya mbeya kutoka kwenye mfumo duni wa kimaisha  hatimae waweze kuushinda  umsikini kwa wote. watu owte wanaweza au wanaruhusiwa kufika wapo mafyati.