MBEYA LIVI NG LAB
Ni kundi linalosaidia jamii na vijana katika kujiajili wao wenyewe ambapo wanatoa mafunzo ya sanaa na mafunzo ya computer bure kabisa kwa kila anaehitaji .
Hawa ni baadhi ya watu ambao wameweza kupata mafunzo hayo.
mbeya living lab wapo kwa ajili ya kubilisha jamii ya mbeya kutoka kwenye mfumo duni wa kimaisha hatimae waweze kuushinda umsikini kwa wote. watu owte wanaweza au wanaruhusiwa kufika wapo mafyati.